Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Uuh nilivyo yellow addict, hiyo blazer imetaka kunitoa roho. Looking gorgeous our ex wife,

Saint Anne umepitwaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante dear
🙈😂ex wife uwiiii
Wasukuma mje mniokoe huku,nimechoka kuitwa ex mie

Wizooo unapenda hii rangi kumbe,looo tatizo ss uko mbali,pole
Saint Anne ufanye haraka kabla sijafuta
 
🙈😂ex wife uwiiii
Wasukuma mje mniokoe huku,nimechoka kuitwa ex mie

Wizooo unapenda hii rangi kumbe,looo tatizo ss uko mbali,pole
Saint Anne ufanye haraka kabla sijafuta
Wee mbali ya wapi tena? Distance is not a barrier 😂😂😂

Yaani nikiona yellow hata kama nilikuwa sina mpango nayo, nitajikuta nishaumiza mfuko. Ikabidi tu niiheshimishe kama my favorite
 
Wee mbali ya wapi tena? Distance is not a barrier 😂😂😂

Yaani nikiona yellow hata kama nilikuwa sina mpango nayo, nitajikuta nishaumiza mfuko. Ikabidi tu niiheshimishe kama my favorite
Hahaaaa
Ss hiyo kwa nyuma ndo tamu balaa
Sawa wizo ktka pitapita zangu nikikutana na mikato ya yellow usijali kabisa,nitakukumbuka
Hii ya mtumba
 
Back
Top Bottom