Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
NimepunguzaOndoa emog hio bana
Nimeachia komwe langu kidogo
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
NimepunguzaOndoa emog hio bana
Achia na lipsss komwe linaonyesha unalips mtelezoo.Nimepunguza
Nimeachia komwe langu kidogoView attachment 2253415
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
MweehMatege ya hipssss labda ukipandisha kidogo ntaona tegeeeee.
Ndiyo kinamvutia mwanangu kunyonyaa.
Hata hivyo nanyonyeshaNdiyo kinamvutia mwanangu kunyonyaa.

Nataka kunyonya😀🙂🙂
Okay dear

Hivo saa na ua vyanini jamani ebu ondoa vyote basii!Nimepunguza
Nimeachia komwe langu kidogoView attachment 2253415
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Nimenote!Okay dear
Mahitaji
Ngano robo
Maji
Chumvi
Viazi
Rangi au kama mimi hapo nimetumia binzari ya njano
Nyongeza
Mimi nimeweka pilipili manga hapo
Kitunguu maji swaumu na hoho kidogo
Kupika sasa
Menya viazi vyako then oshe baada ya hapo vitenge jikoni vichemke huku ukiandaa viungo vyako . Angalia visipondeke sana (nimechemsha vitunguu pamoja na viazi , chumvi )
Baada ya viazi kuiva , epua viazi vyako vichuje baada ya hapo Anza kuviponda mpaka vilainike . Vilainike lakini sio sana ile
Andaa ngano yako weka maji hapo. Anza kuchanganya maji na ngano ...hakiksha mchanganyiko huo ni mzito kiasi usiwe ule mwepesi ... Baada ya hapo weka rangi yako unayoipenda mfano nimeweka binzari ya njano
Koroga mchanganyiko wako huku ukiandaa mafuta yako jikoni yapate moto
Chukua viazi ulivyoponda then weka kwenye ule mchanganyiko wa ngano wa maji hakika kiazi chote kinapata ile ngano geuza kiazi upande zote ngano ishike ili isiweze kuachia wakati kupika
Then weka kiazi chako kwenye jiko hakikisha usigeuze Hadi uone chini kimeiva ndo ugeuze baada ya hapo epua ukiona vipo tayari .
Hapo umemaliza
.
So byutful!!Nimepunguza
Nimeachia komwe langu kidogoView attachment 2253415
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Mpwa umenoga!!Nimepunguza
Nimeachia komwe langu kidogoView attachment 2253415
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Sanaaa sema nini mwambie aondoe hilo ua na saa sasa ndio atanoga zaidi!Mpwa umenoga!!
Ah vyemaNimenote!
Naam naaaasmJamani Jamani!!![]()
MsweetMicrofon test ...
Kaka Nimeona sabuni ya roho!!☺️Naam naaaasm
AsanteMsweet