Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Fortnox, _King
Basi bana. Nimeliona. Jeupe. Bado jipya jipya. Ile nafunga mlango wa mkweche wangu mwenye nalo akaja. Jimama bichiiii! Black. Limevaa sundress. Mtako kama wote. Kiuno nyigu. Vititi vidogo mchongoko. Halafu lina uso mwororo na tabasamu lenye kivuli hivi kwa mbali.

Ikabidi nijikaze niliulizie bei. Nimeambiwa ni $78K. Kwa model hii unapata jipyaaa kabisa na makaratasi yake. Nikajipiga piga pale. Oooh nitajitutumua in two yrs ninunue. Ndo lengo langu. Nikasifiwa hapo wee. You are a real man. Una malengo. Na naamini una mipango pia.

Sijakaa sawa oooh! Take my number. My dad sells cars. Ukitaka kununua nitafute. I will make sure you get the best deal in town. Nikatupa macho kwenye mkono wa kushoto wa lenyewe. Sikuona pete...Nikalitania...I don't see a ring on your finger...likacheka weee halafu kwa kujishaua sana likasema kwa sauti tamu tamanishi...

"That's why I gave you my number".....

Tukaagana....!

Naam!

Carpe Diem!

Seize the Day!

20220607_143615.jpg
 
Carpa Diem!

Fortnox, _King

Seize the Day!

View attachment 2253627
Duh
 
Aisee...
 
good thing umepata her contact kitu yutong hio gari ni moto Ngoja tuzikusanye ukivuta hiko kitu mzee nitakupa na balimi nne za baridi na sato makange kukupongeza
 
Back
Top Bottom