Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,307
- 32,796
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kule Japan nako kuna dili jipya. $20 billion/year industry is in trouble [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2253406
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kule Japan nako kuna dili jipya. $20 billion/year industry is in trouble [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2253406
Nimepamiss hapoJirani nimekaa na mabegi yangu hapa Heaven Sent kama hujui umenibebesha niniView attachment 2253461
Nipo hapa najipendelea mawowo tu 😬😬Nimepamiss hapo
Maraha Bar na Gest Haus[emoji1787]
Kwani hunaNimeghairi aisee. Uanze kunichamba sina kalio[emoji23][emoji23][emoji23]
Jioni kama hiviNipo hapa najipendelea mawowo tu [emoji51][emoji51]
Sina ndugu yanguKwani huna
Kweli[emoji848]
Bhas wewe sio mnyaki
Wewe unaogopa bure tuu mie wala sina neno wat hapens at morena stays in morena. Njoo mremboNimeghairi aisee. Uanze kunichamba sina kalio😂😂😂
Abee😊
Nasinzia niki kuwazaa oooh ..... Miaka nenda miaka rudii oooh ,😉😉Abee😊
😁😁😁 toka asubuhi hadi saa hiii nimecheka youtong nne, hapa nina mbili saa nane naenda samaki kuchukua mbiliJioni kama hivi
Naingia msamvu
Kujiokotea dodo
Wale wanaounga kuelekea kusini
😋😋😋😋Kitimoto / mduduView attachment 2253495View attachment 2253496
Kwani tunatoshekaUlizowahi kuziona hazijakutosha?
Salama tina turner[emoji23][emoji23][emoji23]
Huru kwelikweli
Mambo wige
😂😂Ila wapi hadi leo sijapata fursa ,😀😀