Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
BlazaSaint Anne siwezi tena kuiweka, imekaa sana na nimekutag, hio sahauu.

Habari ndiyo hiyo. Amesimama kabisa, amegonga suti nyeusi 🔥🔥🔥
Image description: nimevaa suti nikiwa natoka kwenye party.Blaza
Ntakutwanga mangumi
Usinitanie kabisa,weka picha kabla sijakunja ngumi.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Nitakutumia pm usiwazeKaka Mjep vocha yangu usitume saivi natoka online!
Kwahiyo mmekubaliana mninyanyase sio!?Habari ndiyo hiyo. Amesimama kabisa, amegonga suti nyeusi![]()
Unanikomesha?Image description: nimevaa suti nikiwa natoka kwenye party.
Naamini umenielewa.

Marahaba mdogo wangu
NdiyoUmeanza diet mdogo wangu?
Toa basi emojNi hii, nina kazi nyingi, yaani nisingeweka, ujue ni mwezi wa 9 tena ndio ninge login jf.
View attachment 2253239


Nilivyo chibongeMarahaba mdogo wangu
Jiselfishe basi mama mchungaji
Kabisa mkuu,wakaka wanatutesa sisi wadada na emoj hizo😒,Mjue hz emoj zinatesa sana.mdada akiweka anamtesa mkaka. Mkaka nae akiweka anamtesa mdada.hapo hamja FUTA NA KU DELETE .FULL KUTESANA.wengine wangonjwa mkifanya hivyo ugonjwa unazidi