Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,095
- 41,711
Yaani adimu sanaa
hahahaha.Kaka mkubwa mtu chake atakutunzia 🤣
Imekaa dakika 5 🤣🤣🤣🤣Mjep huyo
Nahisi dakika huwa haifiki kafuta tayari
Khaaaaaaaaa🙄🙄🙄Imekaa dakika 5 🤣🤣🤣🤣
Sijui ulijificha wapi?
Ah wapiImekaa dakika 5 🤣🤣🤣🤣
Sijui ulijificha wapi?
Uongo mama mchungaji?Khaaaaaaaaa🙄🙄🙄
Kile kipande cha bega ndiyo kinaogelea?Uongo mama mchungaji?
Si umeshuhudia nikiogelea
Nikiyakata maji live[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
AiseeMarahaba jirani, ngoja nitafute simu yenye camera
Ah nimeikosa
Pole sana Kaka! utakua fit totally!!Baada ya siku mbili pale tmj.sasa niko fit,mnaendeleaje humu
Asubuhi njemaView attachment 2252845
Nipo[emoji847]
Hii halotel Kuna kiumbe kaishaiwahi
Pole sana mjedaBaada ya siku mbili pale tmj.sasa niko fit,mnaendeleaje humu