Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,308
- 32,790
Geuka kwa nyuma nione ugonjwa wanguKitambi
St AnneView attachment 2253105
Maelezo tutayatoa kwa Mungu Mbinguni.
Tusipeane kazi ya kujibu tuhuma utadhani kiama imefika sasa..
Geuka kwa nyuma nione ugonjwa wanguKitambi
St AnneView attachment 2253105
Maelezo tutayatoa kwa Mungu Mbinguni.
Tusipeane kazi ya kujibu tuhuma utadhani kiama imefika sasa..
Amina🙏🙏🙏Wasije tu wakakulaghai nkamu
Ubarikiwe sana nkamu, umefanyika kuwa baraka kwa wengi humu
Hakika tumepata kaka mwema!Uzuri wake huwa hasahau kabisa
Waelewe tu jirani😀Jirani watu wabaya sana
Ugonjwa Gani mkuu unakusumbua?Geuka kwa nyuma nione ugonjwa wangu
Ewaaa yaani ukiona tu kadalili, kimbia fastaaa ukujeAmina
Wakianza kunilaghai tu nakuja kuwasemea kwako mama mchungaji


Usijali dada yanguAsante kwa kutujali wadogo zako kaka nakukumbusha usinisahau vocha yangu pm!
Amina🙏🙏🙏
Wakianza kunilaghai tu nakuja kuwasemea kwako mama mchungaji
HiyoNimeiziba Mali yangu nzuri nzuri
Sawa kaka akhsante!Usijali dada yangu
Hakikisha pm iko wazi tuu
Ila mama mchungaji Heaven Sent amesema msinilaghai, ukitaka kunilaghai sharti utume maombi kwake kwanza😅
Braza kitambi😂😂
Imenona kama tege languHiyo
Ni nzuri kweli
Na ni mpya kabisa
Mungu azidi kumtunzaHakika tumepata kaka mwema!
Na kumbariki zaidi kwani akibarikiwa nasi pia atubariki kwa vocha!