Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

nikitoa emoji utasema nyoa basi nywele nikuone vizuri, wewee.😂😂, haya siku njema mrembo.
Toa Emoj tu basi
Napenda nywele ati ..raha ya mwanaume awe kama beberu😍

Usiondoke kabla hujatoa emoj tafadhali mkuu,achana kuninyanyasa..Mimi ni last born ujue🥺
 
IMG_20220526_144359_447.jpg

Pilipili walizoweka humu utasema nimewaambia Mimi ni Mhindi 😩

Anyways, Mchana mwema Kwa Kila Mmoja wenu humu 🥂
 
Back
Top Bottom