Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

FB_IMG_1654584870170.jpg
 
Tujiachie tu yaani
Hakikwepeki maadamu umependeza inatosha

Kuna nguo naipenda nilivaa mara moja nataka kuigawa nikiona kila siku napata hasira ...Kitambi kinajichora kabisa
😂😂😂
Najiangalia hapa kitambi kilivyotuma na hiki kitenge nacheka tu mwenyew😂

Kuna nguo zinachora adi unajishtukia yaani
 
Najiangalia hapa kitambi kilivyotuma na hiki kitenge nacheka tu mwenyew

Kuna nguo zinachora adi unajishtukia yaani
Ah kuwa comfortable , maisha ni haya haya

Jana nilivaa kigauni fulani najua sio sema
nalipenda ukisimama hkuna shida ila ukikaa tu hicho kinajichojokeza
 
Ah kuwa comfortable , maisha ni haya haya

Jana nilivaa kigauni fulani najua sio sema
nalipenda ukisimama hkuna shida ila ukikaa tu hicho kinajichojokeza
Na changu hvyo hvyo hapa nimekaa ndio kitambi kimechomoza, nkisimama kutembea fresh.

Hii miili yetu bana ukiifatilia sana utashindwa kuvaa nguo nzuri
 
Na changu hvyo hvyo hapa nimekaa ndio kitambi kimechomoza, nkisimama kutembea fresh.

Hii miili yetu bana ukiifatilia sana utashindwa kuvaa nguo nzuri
Hahaha unakaa kiubishi tu
Kikubwa upendeze mambo mengine hayo ni extra
 
Back
Top Bottom