Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Sina picha mpya Mkuu
Hebu tukuone kwanza
Sina picha mpya Mkuu
Pole UncleMkuu nilipigwa tukio siwezi access chochote wala kufikia chochote ambacho kilikuwa kwenye simu wala email
PoleMabaya
Uumbaji upi sote tumeumbwa sawa kaka!Tuma basi Surbi tukuone tufurahie uumbaji wa Allah


Mkuu nilipigwa tukio siwezi access chochote wala kufikia chochote ambacho kilikuwa kwenye simu wala email
Asante shangazi min! mzima lakiniPole mjomba..
Asante Uncle 🥲🥲Pole Uncle
Hupokei simu yanguPole
Kisa nini ?

Shusha vitu basiUumbaji upi sote tumeumbwa sawa kaka!
Sorry nilikuwa busy kidogo sikuiona wakati unapigaHupokei simu yangu![]()
Haya mkuu tulia nishushe kitu hapaShusha vitu basi
tuwekeeSina picha mpya Tinsley labda utubless na liselfie!
Embu shusha kitu basi malkia wangu wa nguvu jasiri na mchapa kazi!Hiohio tu tuwekee
Naomba nione full look puliiiz🙂Lenie wangu jioni kama kawa😉😉😉View attachment 2253011
Asante shangazi min! mzima lakini
Embu shusha kitu basi malkia wangu wa nguvu jasiri na mchapa kazi!


haya natuma japo umeniovasifa