Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nacheeeka
Nikikumbuka nilikutumia na vifungu vya Biblia,unaitika Amina.
Yaani sina hamu mimi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Safari ya mbinguni si Lele mama ..the battle is real nimeanza kupigana Vita na pombe Kama kianzio
 
Hawezi kuacha huyo

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Anaweza kuacha, kama anapiga chupa 10 daily anaanza kupiga 7 au 5 anaenda kama wiki 2, anaanza kupiga 3 anaenda wiki 2 ama 3 anaanza 1 kila baada ya siku 2 n.k, ni ka utaratibu tu na inabidi uwe na nidhamu kweli kweli.

Ujue kilevi umetumia miaka mi 5 huwezi acha kwa wiki 1.
Mi mwenyewe kuna muda nilikua nazipiga bottles acha kabisa, mama yangu mkubwa zilipompoteza kwa ugonjwa ini, nikaona pombe ni ushenzi, leo hii nakunywa social, either kwenye events tu, naweza kaa miezi sijanywa.
Fortnox
 
Huyu hiyo nidhamu hana.
Labda Mungu tu mwenyewe aingilie kati kumuachisha.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Good Morning
FB_IMG_1653736025104.jpg

Shalom June

Back
Top Bottom