Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

E1B57E2E-A9C8-473C-A694-3FD70E3C4EE8.jpeg
 
Inabidi uwaapooze sasa.

Mimi mwenyewe huwa karoho kananiuma mtu akinizungusha sana na picha.

Mfano huyu Post M-alone alinizungusha na picha yake hadi nikasusa.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Mbona niliweka picha, we ukasema unataka nipunguze emoji kitu ambacho nisingeweza, nilitafakari nikaona nisingeweza kupunguza emoji.
Haya basi mrembo yaishe, pole.
 
Mbona niliweka picha, we ukasema unataka nipunguze emoji kitu ambacho nisingeweza, nilitafakari nikaona nisingeweza kupunguza emoji.
Haya basi mrembo yaishe, pole.
Ukanipiga kamba Kwa kusema kesho utapunguza😒

Oooh fuckk,shittt😂😂😂😂😂
Nimetukana kama mzee wa emergency landing
 
Back
Top Bottom