Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,509
- 235,214
Nilimkubali sana jamaaNiliipost nikafuta haraka sana, 🙂 jamaa wa emergency landing 😂😂
Aliupiga mwingi
Nilimkubali sana jamaaNiliipost nikafuta haraka sana, 🙂 jamaa wa emergency landing 😂😂
hahahahha nimeacha kaka....[emoji3][emoji3][emoji3]nimeona wahuni wanameza nikassma nipge pichaUnajimaliza tu liwalo na liwe [emoji38]
Mimi nimejaribu toka tar moja sijapiga pombe najipa challenge ya mwezi mmoja Ila nateseka balaa usingiz napata saa 11 asbh kichef chef nikilala asbh naota ndoto za kutisha dahhahahahha nimeacha kaka....[emoji3][emoji3][emoji3]nimeona wahuni wanameza nikassma nipge picha
Withdraw symptoms hizo, usingeacha haraka hivyo ungeenda unapunguza unywaji, hivyo utajitesa mkuu,.Mimi nimejaribu toka tar moja sijapiga pombe najipa challenge ya mwezi mmoja Ila nateseka balaa usingiz napata saa 11 asbh kichef chef nikilala asbh naota ndoto za kutisha dah
Au sio, nimeambiwa una kiuno kimekatika balaa, hebu nikuone mtoto mzuri.Nilimkubali sana jamaa
Aliupiga mwingi
Wewe ulininyima ya kwako na Mzee wa Emergency landing.Au sio, nimeambiwa una kiuno kimekatika balaa, hebu nikuone mtoto mzuri.
Hawezi kuacha huyoWithdraw symptoms hizo, usingeacha haraka hivyo ungeenda unapunguza unywaji, hivyo utajitesa mkuu,.
Kweli Kaka Kama ulivoshauri nipunguze taratibu hii Hali sio ya kawaida isije ikanitoa rohoWithdraw symptoms hizo, usingeacha haraka hivyo ungeenda unapunguza unywaji, hivyo utajitesa mkuu,.
Dogo unanisagia kunguni [emoji38] nateseka balaa mpaka mida hii npo kitandani mkavuuu nawaonea wivu waliolala
Kanywe tu Kilimanjaro umwagilie moyoDogo unanisagia kunguni [emoji38] nateseka balaa mpaka mida hii npo kitandani mkavuuu nawaonea wivu waliolala
Tupia mkuuMida ya picha wanaselfika watoto wamelala.
Anza mi ntamalizia.
Kama kweli hivi![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kweli Kaka Kama ulivoshauri nipunguze taratibu hii Hali sio ya kawaida isije ikanitoa roho
Simu yangu haina camera.
Sure nataka nipunguze hatimae niache kabisaaa pombe Ni mikojo ya shetaniKama kweli hivi![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mtu anaweza dhani kweli utapunguza akiyanani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]Simu yangu haina camera.
Mtu kama hakujui anaweza fikiri upo siriazi [emoji1787]Sure nataka nipunguze hatimae niache kabisaaa pombe Ni mikojo ya shetani
We subiri ushuhuda siku nikifanikiwa maana shetani anajiinua Sana [emoji38]Mtu kama hakujui anaweza fikiri upo siriazi [emoji1787]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app