Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,238
- 90,415
nzuri rafiki.tunaperuzi na kudadisiFresh
Habari ya Asubuhi
nzuri rafiki.tunaperuzi na kudadisiFresh
Habari ya Asubuhi
Ooh vyemanzuri rafiki.tunaperuzi na kudadisi
Nawe pia MkuuAsubuhi njemaView attachment 2252845
ahsante,rafiki mchana natakiwa tena wajiridhishe ya mwisho.bt najiona fitOoh vyema
Uwe na siku njema
Pona upesi
Ooh jambo jema hiloahsante,rafiki mchana natakiwa tena wajiridhishe ya mwisho.bt najiona fit
Salama vipi wewe ?Mko salama huku ndani
Jmn hii browser sijui app mpya inanishinda kutumia![]()
Ooh poleTinsley majanga,nashindwa kutumia hii kitu
Lakini Niko poa dear
Hata sehemu ya Ku mention sioni nimetafuta sn
Shikamoo madamMjep,Mr vocha,salama?
Marahaba mdogo anguShikamoo madam
Yaani acha nifanye mipango nirudishe appOoh pole
Inasumbua kweli sasa hivi bora app japo hupati notification kwa wakati .
Usalama upo madam,Marahaba mdogo angu
Salama?
AmenUsalama upo madam,
Ukimuona madam Tinsley mwambie namsalimia pia
Usisahau kujiselfisha tuianze asubuhi vizuri
Ah irudishe tuYaani acha nifanye mipango nirudishe app
🤣🤣🤣🤣unaogopa mbio za hapa ee?Amen
Yupo amekusikia
Fanya wepesi Basi ili niselfike ila sio hapa siwezi🙌🙌
Inanipa shida nikitaka Ku mentionAh irudishe tu
Inabidi tuizoee hivyo hivyo tu