Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kweli unanipenda aiseee [emoji847]
Nimeona tag yako kweli nilipoingia.

Maisha yanakaba hadi tunashindwa kuweka bando [emoji2].
Nilikuwa mapumziko kidogo,ilikuwa special week kwangu.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Ilikuwa special kivipi?

Uliwezaje kuweka simu pembeni hasa jf ili ufurahie week yako special?
 
Happy belated birthday kaka mkubwa Mshana Jr
Mungu azidi kukuweka Kwa utukufu wake.

Happy belated birthday dada mkubwa Chakorii
Bwana na akutunze.

Team June [emoji3590]

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Apewe zawadi.

HBD Boss.
A13E970F-1CF7-4CA0-AE47-8C6EB7B37645.jpeg
 
Soon unamkaribia.

Nimeona umeshatupia ramani kule[emoji4]nikasema eeeh mambo si ndo haya,mama amefungua nchi.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Aah no, ile hainihusu hata kidogo. Ni mtu alitaka challenge tu ya kile anafikiria kufanga - na +, habari za mama achana nazo kabisa...japo kuna wengine kweli kawafungulia😅😅
 
Ilikuwa special kivipi?

Uliwezaje kuweka simu pembeni hasa jf ili ufurahie week yako special?
Niliweza tu,
Nilijicommit tu nikatulia.
Japo Kuna washenzi wachache wakataka niharibia wiki yangu.

Nilikuwa kwenye transformation period,kuna hatua nilikuwa napiga.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Aah no, ile hainihusu hata kidogo. Ni mtu alitaka challenge tu ya kile anafikiria kufanga - na +, habari za mama achana nazo kabisa...japo kuna wengine kweli kawafungulia[emoji28][emoji28]
Si useme tu kuwa unaupiga mwingi mjomba!
Ujue nimeongeza maombi ukamilishe.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom