Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Sasa si bora sisi tumefika final.Ni kweli
Waliolichukuwa pia
Ni wabayaaa
Msije thubutu tena
Nyie mlifika wapi?
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Sasa si bora sisi tumefika final.Ni kweli
Waliolichukuwa pia
Ni wabayaaa
Msije thubutu tena
Unadhani uhandsome ni sura??Mimi mwenye sura
Ya garage ngoja nitulie
Aiseee 😬
Nikianzaga mtanisikia redioniLeave ya mwaka hapana, ila kuna wakati mtu unatamani utupe simu huko yani.
Aaah kwamba ukipata "ya kulala nayo" utakuwa huru kutupa simu huko..eti?![]()

Mambo tu ya wanaJF wakwetuImekuwaje wa nyumbani
Mpwa kwani bado hujaanza?😀😀
Natafuta helaMpwa kwani bado hujaanza?
Unasubiri nini usianze kula biriani ujanani![]()
Sijaelewa hapa kwenye "mnazuliana"...au ulimaanisha "mnazuriana"....aah kiswahili kigumu.Kumbe huu uzi na mambo mengi hivi?? Nitaanza kuuangalia kwa mapana kumbe mpaka watu mnazuliana pm jamani na hamtushtui wenzenu.
cocastic SIJAPENTAAA
Mie niwepo tuSasa si bora sisi tumefika final.
Nyie mlifika wapi?
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app

KwendaaaMie niwepo tu
Makombe chukueni nyie
Hivi ilikuwaje lakini
Mkalikosa![]()

Eetuu


Nkasahau kufuta aiseeMkuu hapa umeamua kujilipua kabisa yani👏
YeahAiseee![]()

Alayna ananipeleka mbio sana 😢Nkasahau kufuta aisee
Yote yanaenda sambamba...muhimu yote ni "linear equations", sovu yote simultaneously.Natafuta hela
Ila ndio zinanipiga chenga kila siku
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Pole mkuu, ila kama ni Points nna uhakika 3 unechukua.Nkasahau kufuta aisee
3PTS unaweza pata ila PM ukakuta GD ni -Pole mkuu, ila kama ni Points nna uhakika 3 unechukua.
Dah..huko pm kwa kweli panatisha!3PTS unaweza pata ila PM ukakuta GD ni -