Utuletee chenji za soda[emoji847]Wakuu [emoji113][emoji113]
Nikapige hesabu za siku sasa!!
Muwe na wakati mwema!
Nasubiri na wewe ujilipueMkuu hapa umeamua kujilipua kabisa yani[emoji122]
Soda we mgonjwa?
Kwenye mafuta umelenga pazuri muzeeeee…Shamba lako hili mama kijacho umeona lilivyopendzaView attachment 2252378View attachment 2252380
We unaenda na nan? Mama Kija?Kesho tunaenda dubai then ibiza 😅😅😅 nashindilia mimba juu ya mimba
Usiwaze dada! Ikiwezekana nitakuletea na soda kabisa unakunywa soda gani dada??
Na lingine la bange ninalo 🤤😅 kwa ajiri ya dawaKwenye mafuta umelenga pazuri muzeeeee…
EwaaUsiwaze dada! Ikiwezekana nitakuletea na soda kabisa unakunywa soda gani dada??
Mpwa ulipotelea wapi, ujuwe mimi tu ndio nilikuulizia..uone jinsi ninavyokupenda😁
Kama mie hivi 🥰Wapo mpendwa tena watulivu mno sema ni wachache sana
Nikikuwa mkubwa nitakuwa kama wewe😅 hongera mkuu!
Kweli unanipenda aiseee [emoji847]Mpwa ulipotelea wapi, ujuwe mimi tu ndio nilikuulizia..uone jinsi ninavyokupenda[emoji16]
Fanta Orenji.