Nations
JF-Expert Member
- May 4, 2022
- 4,892
- 16,997
kwamba ndio anaenda kupelekewa moto 😁🏃🏃🏃🏃!!
kwamba ndio anaenda kupelekewa moto 😁🏃🏃🏃🏃!!
Inauma Sana dada ukiwaza zile rafu unazopewaga ndio anaenda pewa mwenzio aahhh!! Moyo unataka kupasuka nyie kushea kusikie tu!Mwe dada una matusi, mimi nimeshindwa aendelee tu kuchepuka🤷🏼♀️
Jiandae mpenzi kesho asubuhi tunaenda vacation dubai sawa mama kijacho wangu niandalie nguo basi naja asa hivi 🥰🥰🥰Kumbe mkuu yupo mbele inawezekana ni wewe nawe si upo huko
😅😅😅😅😁Buza kwa
Kina havintishi![]()
Nimekulipoti police 😬😬Huniachi nitakuja kukupiga risasi 14 😬😬😬😬
Baadae kidogo Sis
Niko stend naelekea nyumbani kwetu 😬Jiandae mpenzi kesho asubuhi tunaenda vacation dubai sawa mama kijacho wangu niandalie nguo basi naja asa hivi 🥰🥰🥰
Kasema eti ni Boss wakeKwa kweli najiweka pembeni kuepusha msongamano🤷🏼♀️
Nije na IGP Sirro au CDF Mabeyo watupatanisheNimekulipoti police 😬😬
Nani kakuambia utoke nyumbani ? umeona sasa au ndio unaenda kuchepuka na ex wako wa vidudu yule nilikukataza kumzoea zoeaNiko stend naelekea nyumbani kwetu 😬
Leo ujipange aisee 😀😀Ebu niteteee huyo ni boss wangu nilikuwa nimemsindikiza kazini
Umemuona yeye alivyokuja lakini kaja kidenti denti...full soksiii na kisketi cha tuition 😎🚶🏽♀️Ngoja tuone
Unavyopokelewa
Leo ujipange aisee 😀😀
Mchepukaji anakosa la kujitetea 😬Kasema eti ni Boss wake
Kwa kweli inauma sana🤷🏼♀️Inauma Sana dada ukiwaza zile rafu unazopewaga ndio anaenda pewa mwenzio aahhh!! Moyo unataka kupasuka nyie kushea kusikie tu!
Ni Anakupenda wewe kuliko Micheps mingine hilo halipingiki!!Mchepukaji anakosa la kujitetea 😬
Kwakweli ni mwisho wa leli 😅😅 si umeona sasa hivi narudi nyumbani akikohoa tu mie huyo home kupata mahaba ya kitangaNi Anakupenda wewe kuliko Micheps mingine hilo halipingiki!!
Jamanii moyo huo wa kujipa matumaini acha achepuke kwa kuwa ananipenda mimi sina 😬😬Ni Anakupenda wewe kuliko Micheps mingine hilo halipingiki!!