May be tunapishana ! Siku yangu iko njema mkuu!Karibu sana , ni mara ya kwanza nakuona kwenye hili jukwaa, siku yako imekaaje mrembo?
May be tunapishana ! Siku yangu iko njema mkuu!Karibu sana , ni mara ya kwanza nakuona kwenye hili jukwaa, siku yako imekaaje mrembo?
Kwahiyo ndo tuko hatarini sie wengineHabari ndo hiyo [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 2249907
I guess ur listening wimbo wa sedekia[emoji119]Wewe ni niko ambae
Ni niko
Milele ilopita
Na Milele ijayo
Bwana weeeee 😃😊😊😊
Njoo Misungwi pulizi...Kwahiyo ndo tuko hatarini sie wengine
Sa itakuwaje[emoji3][emoji85][emoji124]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji85][emoji40]misungwi sasa[emoji125][emoji125][emoji125]Njoo Misungwi pulizi...
Utawazidi hata waliokutangulia kwenye hilo gemu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji123][emoji123][emoji123]
Mzeebaba hiki kitu hatari sana !!
Ndiyo nawaandalia mambo hapaHeaven Sent jirani wangu wa nguvu chai chai ya mchaichai.. nipo njiani 😅😅😅 nakuja na mama pastor usisahu na mbuzi choma na bluebandView attachment 2249976
Hii jf mpya inanikata stim