Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Habari ndo hiyo
tapatalk_1562918379829.jpg
 
Mwanaume, muheshimu mwanamke, mlinde mwanamke, mfanye kuwa wathamani na ajionie mwenye thamani, ajione yupo salama, Mwanaume usimfanye mwanamke kuonekana kitu kisicho faa au kisicho na hadhi katika jamii, mwanamke ni mama na mwanamke ni zawadi, tusifanye wakajiona wanyonge na wasio faa tusi wauzunishe. Mwanange na ana nguvu mfanye aione nguvu yake ili mbengu njema itoke kwake. Hakuna mwanamke mmbaya, hakuna mwanamke asie faa kama mwanaume utaamua kusimama nae...

Nyaraka na Baba Kijacho 😬😬😬
 
Back
Top Bottom