Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,238
- 90,415
tupia moja ya ya jmos
tupia moja ya ya jmos
Yani shida tupuInaboa sio kidogo!
Happy Day Heaven SentHappy Sabbath..View attachment 2249956
Mkuu nami nahitaji hio chombo naomba utaratibu naipataje!
Me mpaka dk hii siuoni uzi wa vituko..Hii jf mpya inanikata stim
Mimi naona nyota nyota uzi hata hauoni unaendajeMe mpaka dk hii siuoni uzi wa vituko..
Nishatafuta weee
Selfika me naipata chrome, nagoogle tu selfika.. unakujaMimi naona nyota nyota uzi hata hauoni unaendaje
haupo ktk news zinazo trend?Selfika me naipata chrome, nagoogle tu selfika.. unakuja
Ila vituko nimeshindwa..
New posts sizioni, naona tu watu waliko reply..
Jau jau tu
Sijauonahaupo ktk news zinazo trend?
hahahaha.tuzoee mabadilikoMimi naona nyota nyota uzi hata hauoni unaendaje
huoni neno more view?Sijauona
Afu pia nikiscrol kidogo nafika mwisho.. sioni pa kuendelea
huoni neno more view?
Mbona uzi wa vituko upoSijauona
Afu pia nikiscrol kidogo nafika mwisho.. sioni pa kuendelea
Nimekutag kwenye uzi wa vituko
Misungwi pazuri...


At least.. now nitakuwa nautafuta kwenye comments zanguNimekutag kwenye uzi wa vituko
Sijasema haupo, ni mie hii jf mpya inanichanganya nakosa kuuona.Mbona uzi wa vituko upo