Nations
JF-Expert Member
- May 4, 2022
- 4,892
- 16,997
🤭🤭🤭 haina kiporo hiyo kila siku mpyaa kama imetoka kiwandani 🦅🦅🦅🦅No viporooo😋😍😍
🤭🤭🤭 haina kiporo hiyo kila siku mpyaa kama imetoka kiwandani 🦅🦅🦅🦅No viporooo😋😍😍
hahahahaAshura wa tabata akijikata kucha,kwa style hiyo ya ukataji kucha simlaumu diwani wetu wa kawe
alafu kama vipi leo tusitokee haka ka kipupweee na ka unabaridi ni kubadiri vyumba vya kulala.. bosi atafanya kazi mwenyewe kama vipi 🚶♂️🚶♂️🚶♂️🚶♂️🚶♂️No viporooo😋😍😍
You'll be well, we pray for you!
Ulichelewa mkuu ulikuta nisha selfika na zimefutwaBila selfie hatukubali ulale..
Nimeoga… my sweetheart uwa ananiamsha kuoga kabla ya vingine 😅Umeoga kwanza au ndio cha kwanza umedamkia selfi 😎😎😎
sweetheart wa mchongooo 😬😬😬😬 nakuzoom tuNimeoga… my sweetheart uwa ananiamsha kuoga kabla ya vingine 😅
Umekunywa chai au umedamkia selfie 😅😅😅
No,mapema sn rfk angu!Umekunywa chai au umedamkia selfie![]()

ndo nikaingia huku nijibu na watu walioni-quotePM yangu mbona haijajibiwa au kwakua haina kiambatanishi chochote.. wanajibiwa kina mzabzab tu eeh 🤗😬No,mapema sn rfk angu!
Nilikuwa najibu pm za watundo nikaingia huku nijibu na watu walioni-quote
Sent using Jamii Forums mobile app
Amen....... Asante mkuuYou'll be well, we pray for you!
My sweet wa heartooosweetheart wa mchongooo 😬😬😬😬 nakuzoom tu
Yako haina hata vocha ya nn ss


