ChickMagnet
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 2,706
- 3,565
Kuna kitu nimehisi 😂
Kuna kitu nimehisi 😂
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji125][emoji125]Usijali hilo ukipata protein zangu tukiongeza na squats litapatikana tuu
Naja kukuchukua mrembo wangu.
Na wewe pia😘
Jamani 🤣🤣🤣Kuna kitu nimehisi 😂
Shangazi 😊😊 kwanini niongope shangazi wangu au hadi niangushe kilio cha paka alipigwa baada ya kula chakula cha usiku chote 😀😀😀🤣🤣😂😂😂😂😂😂!! mi kijeba ujue mjomba unanidanganyaje kwa zawadi lakini mjomba 🤣🤣🤣😂!!
Kweli Hata sina jipya leo ankoo wetu!!
Aah haya mambo tutaongea chemba banaaa[emoji3]sio ya kuweka hadharaniPesa kiasi gani?
Milioni ngapi?
😉😉😉😉 Shangazi au basi ngoja nikanunue vocha nije pm 😅😅😅 wajomba hapa tunatoa toa machoMisemo hio mjomba Mwenzio kiswahili nilifeligi mjomba 😉😉!! Unamaanisha nini mjomba!
hahahaha.mbn unanicheka rafikiHhahaa!!
dah leo sio zali.lkn nafurahi km mko salama
Nipo mamake...Aliepo macho anyoshe mkono!! [emoji15]
Mikono juu kama mateka eh?Aliepo macho anyoshe mkono!! 😳
Bila selfie hatukubali ulale..
[emoji870]Alie macho anyoshe mkono!! [emoji15][emoji113]
Nipo mama [emoji113]Alie macho anyoshe mkono!! [emoji15][emoji113]
[emoji113]Alie macho anyoshe mkono!! [emoji15][emoji113]
Shangazi nipo getiniFanya hivo mjomba hapa mie kukimbizana na Vijana siwezi kabisa madogo wana speed balaa!!
hahhahahh......habari yangu ni nzuri sana sijui ww.nani huyo alizusha?na huyo swalliah ndio naniMgeni/Mwenyeji
Huyooo[emoji1787]
Habari yako toto zuri
Eti kuna mtu alizusha
Wewe ndio Swalliah