Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,095
- 41,710
Thibotooooooo mbingu zitaangukaaa ... sweetheart wa kubumba bumbaaa😀😀😀😀 nakutazamaaa kwa makini sanaMy sweet wa heartooo
Ni zoom tu 🤓
🥸🥸🥸🥸🥸🥸 au sioYako haina hata vocha ya nn ss[emoji3]
Najibu zilizoambatanishwa na miamala ya mpesa[emoji3]
Au ngoja nimuulize Shimba Ya Buyenze km nianze kujibu kila pm[emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa wivu wa nini 😂😂Thibotooooooo mbingu zitaangukaaa ... sweetheart wa kubumba bumbaaa😀😀😀😀 nakutazamaaa kwa makini sana
hahahahaha.leo natega hapa
Weeeeeeeee...Sasa wivu wa nini 😂😂
Endelea kunitizama, mwisho utaniona niko na sweetheart wangu hapa
Tupia basi Alicia keys wetu 🤭🤭Abeee!
Nakusalimu kwa jina la Selfika 🖐
Ngoja kwanza nikanywe chai 🚶♀️Tupia basi Alicia keys wetu 🤭🤭
😅😅😅 Naomba na mie chaiNgoja kwanza nikanywe chai 🚶♀️
😀😀 Karibu lakin uje na vitafunwa😅😅😅 Naomba na mie chai
😅😅😅 chapati au skonzi au😀😀 Karibu lakin uje na vitafunwa
Basi leo nayo siku mkuu, tena weekend ndio hivyo inaanza..
Vitumbua vile ulivyo post juzi 😀😅😅😅 chapati au skonzi au
ewaaa... vingapi nije navyo 😅😅😅Vitumbua vile ulivyo post juzi 😀
😂😂 mie ni sweetheart wa sweetheart mmoja tu..Weeeeeeeee...
Nikuoneee wivu wakati nina ma sweetheart kibao 😅😅😅😅😅 na wewe mmoja wapo au basi 🚶♂️🚶♂️🚶♂️🚶♂️
Viwili tuu vinatoshaewaaa... vingapi nije navyo 😅😅😅
Weeeee 😃😃😃😃 nakuona maneno yako hayo utayakataa tu😂😂 mie ni sweetheart wa sweetheart mmoja tu..