Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

alafu kama vipi leo tusitokee haka ka kipupweee na ka unabaridi ni kubadiri vyumba vya kulala.. bosi atafanya kazi mwenyewe kama vipi 🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️
Na hali ya hewa hii boss atapambana na hali yake, hamna kutoka hata
 
Yako haina hata vocha ya nn ss[emoji3]
Najibu zilizoambatanishwa na miamala ya mpesa[emoji3]
Au ngoja nimuulize Shimba Ya Buyenze km nianze kujibu kila pm[emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
Jibu PM za Wasukuma tu....

Kumbuka hilo jimbo umetupa Wasukuma baada ya kuchoshwa na wala maparachichi....[emoji16][emoji16][emoji16]
IMG-20190916-WA0011~2.jpg
 
Back
Top Bottom