Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,902
Mgeni/Mwenyejihamjambo jaman humu ndani?nimewamiss haki tena
Huyooo[emoji1787]
Habari yako toto zuri
Eti kuna mtu alizusha
Wewe ndio Swalliah
Mgeni/Mwenyejihamjambo jaman humu ndani?nimewamiss haki tena
Majukumu mwenyekiti, jina kwenye ID yangu inaakisi uhalisia wa mapambo yangu ya maisha, so ukiona hatutokei ujue tunapambani mkate!!Thank you katibu lakini zawadi haiharibiki 😜😜😜!!!
Umepotea sana pande hii katibu!!
Anytime am available!!![emoji4][emoji3526][emoji3526]Mamaa reymage lini nije Dom?
Amen mtumishi🙏Proverbs 18:10
[10]The name of the LORD is a strong tower: the righteous runneth into it, and is safe.
Jina la BWANA ni ngome imara; Mwenye haki huikimbilia, akawa salama.
Sawasawausimpe mwanamke mbaya nafasi ya kusema kwa ujasiri.
Tena iwapo haendi kama wewe utakavyo, mpe hati ya talaka.[emoji848][emoji3064][emoji15]
Wasiwe wanafuta picha,wanalikosea sana hili jukwaa kwa kufuta futa picha kwao[emoji120][emoji120][emoji8]
Mbona sikuoni jmn,au ndo ushafutaa
Mpe hati ya talaka, usimpige risasi saba wala usimpigie simumara 42.usimpe mwanamke mbaya nafasi ya kusema kwa ujasiri.
Tena iwapo haendi kama wewe utakavyo, mpe hati ya talaka.[emoji848][emoji3064][emoji15]
Happy Belated Birthday Mshana Jr [emoji482][emoji482]Happy born day[emoji173] 2 me Jr!View attachment 2246727
Happy belated born day kwako! [emoji482][emoji482][emoji481]Happy born day[emoji173] 2 me Jr!View attachment 2246727
Ni kuhangaikaHarakati za Mtu mweusi😘