Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,222
- 50,170
NakujaaaKujia š¤£
NakujaaaKujia š¤£
Sanaaaa, mihogo na chachandu, afu migui ya kuku na utumbo, wee acha kabisaa, full utamuuHahahaa kumbe mdau
Happy Bday Brother, Yaani umezaliwa katikati ya mwaka tena tarehe 1, Hongera sana.Happy born day2 me Jr!View attachment 2246727
Hahaha, kweli mzee!!Ule umri huooo![]()
Utamu adi kisogoniiššSanaaaa, mihogo na chachandu, afu migui ya kuku na utumbo, wee acha kabisaa, full utamuu
Poleni na baridiDrafti kijiweView attachment 2247307
Hongera sana. Ni wachache sana.Halafu ilikuwa saa sita kamili mchana
Nilidrop Dom one time, then Singida nkamuNkamu unaenda wapi
Naingia na kutoka kuanzia saa mbili hiv nitakuwepo dadaNipo mdogo wangu bado upo hapa au ushatoka??
Asante Aisee Ni hatari mnooPoleni na baridi
Ule umri ukifika mzee si wasiwasi unaanza?š¤£š¤£