Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,375
Wanatandika maboksi chini. Mungu anisaidie🤣🤣Kuna watu wataenda mbinguni ila watakuwa wanalala vituo vya mwendokasi vya kule eeh 😁😁😁
Wanatandika maboksi chini. Mungu anisaidie🤣🤣Kuna watu wataenda mbinguni ila watakuwa wanalala vituo vya mwendokasi vya kule eeh 😁😁😁
Eeh harudii tena kumess up na king of MsataLol kumbe!!!
Ukivuna nafsi nyingi na kuutenda ya ufalme kwa juhudi zote , utakuwa na ikulu yako kulee yaani 😅😅😅😅 kinyume chakee 🤭🤭Wanatandika maboksi chini. Mungu anisaidie🤣🤣
Hahahaaa sikuamini kabisa.😅😅😅 hamna hataaa burudanii tu, usisahu basii.. alafu usikawiiiie sanaaaaa si unajua tena
Wacha weeee 🤭🤭🤭
Tumeachana duniani mpaka mbinguni😬😬😬Wacha weeee 🤭🤭🤭
Sasa tunamalizia ahadi yetu ya asubuhi au ndo inakuwaje sasa?sijui Kwanini Nimecheka Hahahaaa!!
Saivi mtandao umetulia msukuma!
😬😬😬😬😬😬😬 haiwezekani mama kijacho nita dead mieTumeachana duniani mpaka mbinguni😬😬😬
Wewe ni mtu wa tatu kusema hivyo wengine wanifananisha na sepetu 🤷🏼♀️Kam
Kama Johari kwa mbaaalliiii!!😘
Kwa afya tu hivyo sema mawayo yako tuu 😃😃😃😃 foleni gani tena hapoHahahaaa sikuamini kabisa.
Nimekubebea vitu vyako😂😂😂 nisubiri, foleni balaa
Kama swallah sio eeh 🤓🤓Kama Johari kwa mbaaalliiii!!😘
Nikisema nimesema 😬😬😬😬😬😬😬😬😬 haiwezekani mama kijacho nita dead mie
Shindwaaa,shindwaaaaaKama swallah sio eeh 🤓🤓
Wewe ni mtu wa tatu kusema hivyo wengine wanifananisha na sepetu
🙏🏽🙏🏽😍Uko mzuri sana mamy hongera mnoooo!!
Siamini kama umepitwa kipenzi😍Nione na mimi
😬😬😬 acha nije home tuyamalize ... nitatambaa kwa magoti kutokea hapa hadi nyumbani mama kijacho usifanye utani nita dead kabla ya mda au nije ni kidumu cha petrol ndio uaminiNikisema nimesema 😬😬
Njoo na hii 🔫ili naamini zaidi😬😬😬😬😬 acha nije home tuyamalize ... nitatambaa kwa magoti kutokea hapa hadi nyumbani mama kijacho usifanye utani nita dead kabla ya mda au nije ni kidumu cha petrol ndio uamini
🙄🙄🙄🙄 juzi ukupoke simu yangu moja nikatuma message eeh.. so missed call moja azabu yake niniView attachment 2247483
🤷🏼♀️🤷🏼♀️Kwa kweli