Nations
JF-Expert Member
- May 4, 2022
- 4,892
- 16,997
Mie na wewe nani akiamka ana wenge 😅😅😅 au basi ..Sijui… jana nimepost dushwaaa… kamsake uliyenimix nae.
Au…
We umevurugwa au ndio ukiamka unajawa wenge 😂
Mie na wewe nani akiamka ana wenge 😅😅😅 au basi ..Sijui… jana nimepost dushwaaa… kamsake uliyenimix nae.
Au…
We umevurugwa au ndio ukiamka unajawa wenge 😂
Ooooh no!Naona browser imestack msukuma View attachment 2246709
AbeeeMie na wewe nani akiamka ana wenge [emoji28][emoji28][emoji28] au basi ..
Subiri kidogo, mtandao wa bosiledi utakuonea hurumaOoooh no!
Basi haina shida Boss Lady.
What matters is the idea...
You are a very kind and polite human being.
Kawe na siku njema sana mpendwa [emoji1545]
😅😅Chat na picha View attachment 2245872
Mama Mchungaji nibariki hata na vidole tu leo [emoji1545]
Shalom senior pastor 😅😅😅
Hapa sawa, umepiga picha gari ya mchumba wangu mbona sasa 😎😎😎Tuendelee kuzurura _King
Na uache kunifatilia, mpaka unakariri niyafanyayo 😂😂
View attachment 2246720
Eeh hana longolongo, ndiyo maana nikakwambia utulie, mtandao utakaa poaMama Mchungaji nibariki hata na vidole tu leo [emoji1545]
Bosi Ledi hanaga longo longo. Ni kweli mtandao utakuwa na shida
We una wengeMie na wewe nani akiamka ana wenge 😅😅😅 au basi ..
Mchumba wako hayo ma Hardtop kaokota wapi?Hapa sawa, umepiga picha gari ya mchumba wangu mbona sasa 😎😎😎
Yani ni hekaheka, update kwanza tuone[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!!
Yani chrome sikuhizi unanizingua balaa ....hebu niiupdate kwanza!
Mchumba ako nilimuona kwenye ile hiace.. amependeza sana 🤓Hapa sawa, umepiga picha gari ya mchumba wangu mbona sasa 😎😎😎
Wasalimie madentiNtaweka badae ngoja nikatimize wajibu kwanza!!
Happy birthdate manager wa selfika.Happy born day[emoji173] 2 me Jr!View attachment 2246727
😁😁😁😁 uzuri unajua najua namna vile ukiamka unavyokuwa kisirani kama umeamshwa wakati umeamka mwenyewe plus maluwe luweWe una wenge
Na ukiamka macho yanakuwa hayaoni vizuri… interpretation inasoma neg 😂😂