Nations
JF-Expert Member
- May 4, 2022
- 4,892
- 16,997
Unakumbuka ijumaa tunaenda wapi 😘😘😘
Unakumbuka ijumaa tunaenda wapi 😘😘😘
Njoo tule mihogo😂😅😅😅😅😅 Pale pale kwa jana
Jamaniii tumepishana basi, ulikua kwenye mihogo?Nimetoka hapa soon.
Hujaniambia bado.Unakumbuka ijumaa tunaenda wapi 😘😘😘
Jamani jamanii!Nasubiria yako kwanza 🙂
😅😅😅 mchana wote huu nataka pweza na mchesho wakeNjoo tule mihogo😂
Pweza si jioni jamani😂😂 tena na supu yake😋😋😅😅😅 mchana wote huu nataka pweza na mchesho wake
basi sawa, tutaenda wotee 😀😀Pweza si jioni jamani😂😂 tena na supu yake😋😋
Hapo fresh😊😊basi sawa, tutaenda wotee 😀😀
😂😂😂😂😂 inauzwa wapi?Mwenye vocha ya 200 tu anitumie
Kujia 🤣Naombaaa
Ndyooooh, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamaniii tumepishana basi, ulikua kwenye mihogo?
Nitumie bana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] inauzwa wapi?
Haipogo banaNitumie bana[emoji23][emoji23]