Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,460
- 203,061
Hiyo hapoooo….ohooooo tafadhali acha nifanye kazi kwanzaaa 🤣🤣🤣🤣 bye
Hiyo hapoooo….ohooooo tafadhali acha nifanye kazi kwanzaaa 🤣🤣🤣🤣 bye
😂😂😂me nikimbie? Sio Mchuga mie😀😀😀😀 Utajilaumuuu utakimbia hadi upotee kwako
Karibia na central kama kawa kama dawaaa 😀😀😀😀
😅😅😅 kazi yenyewe nina flow mistari ya wakali 😀😀😀Hiyo hapoooo….
Happy birthday to uHappy born day2 me Jr!View attachment 2246727
Nafanya kazi ya kubeba zege je haitoathiri ufanyaji kazi wangu!Kama kuna mtu humu ana kg zaidi ya 70 na anataka kupungua tr 20 june, tuanze fasting na keto diet
Mlo wa jioni ni ndizi mbivu nusu tu,, na fasting hyo ni for 14 days
Siku 3 za kwanza itakuwa ngumu mno lakini on the 4th day baada ya ketosis kuanza itakuwa easy peasy
Kama u are pregnant au una matatizo ya kiafya challenge hii usifanye,,
Any volunteers for science??
Wee! Usinambie!!Nani tena jmn!
Au kuna MTU kanielewa hukoojimbo liko wazi asisite
Happy birthday kaka mkubwaHappy born day2 me Jr!View attachment 2246727
Powa kabisa aisee...
Endelea kuamsha amsha mpaka kinuke. Hufai aisee![]()


weweWeka mkuuMalumbano yameisha tushushe vochaa??
Nauliza tuu
Shikamoo auntWeka mkuu
Marahaba Mjep, haujambo?Shikamoo aunt
Sijambo auntMarahaba Mjep, haujambo?
Happy birthday Mshana, uishi miaka mingi.Happy born day2 me Jr!View attachment 2246727