Selfika na JF: Snap it. Show it

Wee baba pasta mie nilituma ya hivoπŸ€”πŸ€”πŸ€”!!
acha bange ujueπŸ€­πŸ˜‚
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… hiyo hadi tumbonj unakuwa unaiskia inakatisha mitaa flani hivii eeeh
 
Mbona Miss Buza🀣🀣🀣

Sema mshauri shoga ako awe anatandika hata kitanda basi kabla hajaingia mtandaoni na kuanza kujipost
 
Ebu totooo zuri nyoosha maneno.. msitufiche fiche mwageni mboga na ugali badae tukatulie zanzibar πŸ˜…πŸ˜…
 
Unajua zile mambo napendagaπŸ˜πŸ˜πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹
Sanaaaaa, mie na wewe tena mwili mmoja, roho moja nafis moja kama Julieth na Romeo Part 2 πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
πŸ™‚πŸ™‚ I’m soreeee

Twenzentu vituko..
 
Mbona Miss Buza🀣🀣🀣

Sema mshauri shoga ako awe anatandika hata kitanda basi kabla hajaingia mtandaoni na kuanza kujipost
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ unaamkaa
Kitanda hutandiki…
Huogi…
Mbio kutumia watu PMs zisizo na kichwa wala miguu.

Sijui kula yako unaitafuta saa ngapi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ unaamkaa
Kitanda hutandiki…
Huogi…
Mbio kutumia watu PMs zisizo na kichwa wala miguu.

Sijui kula yako unaitafuta saa ngapi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ebu tajeni majina, msiwe hivyooo mbivu na mbichi zijulikane msifiche fiche mambo hapaa πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…