Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nasimama kwa ajili yako mahondaw embu nitumie hyo picha Tena
20220531_130443.jpg
 
hahahaaaa!!
Acheni uchoyo bwana mbona sasa na nyyie warembo huku mnataka kuwa kama wa badoo kuwa picha mpaka tutume bando na vocha🤣🤣🤣🤣🤣

Mkumbuke jamani misambwanda hiyo mlipewa buree na mama zenu...sambaze i upendo
 
Hizo vocha hazihusiani na picha kabisa ni mnasambaza tu maupendo kwa dada/shangazi zenu wa selfika 😉!

Back
Top Bottom