Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Wewe hutafutwi; wala huna shida na mtu; wewe ndiyo unajikuta unajiingiza kwenye mabifu na watu. Una option ndogo sana tu "kunyamaza".Limenikaa ila katu Siogopi mtu hata!! Watu kibao Wanasema wengine humuhumu why Mahondaw hahahaha!!
Nacheka tu mie 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!!
Asante kwa tahadhari shos na Heaven Sent
Mbombo ngafu.Tunapendana once..
Ila tukishaonyesheana rangi za unafki basi mambo yote tafraniiii.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yalaaaaah[emoji2440]Hata mie nashangaa hufu full maisha ya nadharia watu wanakuwa serious tenaa au tuwapime mikojo [emoji23][emoji23][emoji23]
😝😝😝😝 ni Log out emuKwanza madogo? Ngoja siku yalipuke mbna JF itasimama hii, na kila nikisoma mchezo, shouga angu hatoboi, anapigwa KO asubuh tyuuuh.
Hana uwezo wa kubattle, na upolee wakee huu sasa lol. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aelewee kabisaaa.Tunakujaga kutoa pole na kureport mwishoni, movie ikiwa imeshaisha, tumeshaenjoy ubuyu na shots juu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
📌📌📌📌📌📌Wewe hutafutwi; wala huna shida na mtu; wewe ndiyo unajikuta unajiingiza kwenye mabifu na watu. Una option ndogo sana tu "kunyamaza".
Kama mtu hajakuongelea wewe, una haja gani ya kumuongelea? Kila mtu ashike 50 zake.
Mmh
Na tulivyo wanafki, ni busy kuscreen shot na kuitana. Tuache kuendekeza mabifu yasiyo na vichwa wala miguu. Ukiachwa achika; ukiacha achilia kweli. 🤐🤐🤐🤐Kwanza madogo? Ngoja siku yalipuke mbna JF itasimama hii, na kila nikisoma mchezo, shouga angu hatoboi, anapigwa KO asubuh tyuuuh.
Hana uwezo wa kubattle, na upolee wakee huu sasa lol. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utaandaa [emoji897]utafune vyedi.[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13] ni Log out emu
Ebu acha kukuza mambo .. usiingie kwenye fikra za watu kwa kitu ambacho pia hawafikirii kufanya.. usi imagine sanaa utapiliza 😎😎😎 Kunywa juice tupia pichaKwanza madogo? Ngoja siku yalipuke mbna JF itasimama hii, na kila nikisoma mchezo, shouga angu hatoboi, anapigwa KO asubuh tyuuuh.
Hana uwezo wa kubattle, na upolee wakee huu sasa lol. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha leo mpo Dom na Baba?Mmh
MTT wa Yesu Mie!acha niendeleaa kuangalia[emoji40]
Shouga angu, kazi yako ni 1 tyuuh.Mie nitakaa zangu kimya tu!
Wee niache baba pasta, namuambia ukweli shouga angu, mie sio mgeni na JF, kwann tunamuambia? Tunataka asikutwe na jambooo.Ebu acha kukuza mambo .. usiingie kwenye fikra za watu kwa kitu ambacho pia hawafikirii kufanya.. usi imagine sanaa utapiliza [emoji41][emoji41][emoji41] Kunywa juice tupia picha
Tupia basi, au nitupie nipo naked bafuni 😀😀Wee niache baba pasta, namuambia ukweli shouga angu, mie sio mgeni na JF, kwann tunamuambia? Tunataka asikutwe na jambooo.
[emoji1][emoji1][emoji1]Na tulivyo wanafki, ni busy kuscreen shot na kuitana. Tuache kuendekeza mabifu yasiyo na vichwa wala miguu. Ukiachwa achika; ukiacha achilia kweli. [emoji850][emoji850][emoji850][emoji850]
Hapana ,hii kaalikwa tu na karismatik jimbo LA Dodoma,sio ya mana!Hahahaha leo mpo Dom na Baba?
Ni ujinga dada
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 sawa dada tumesikia.Na tulivyo wanafki, ni busy kuscreen shot na kuitana. Tuache kuendekeza mabifu yasiyo na vichwa wala miguu. Ukiachwa achika; ukiacha achilia kweli. 🤐🤐🤐🤐