Tayana-wog JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 28,877 Reaction score 37,676 May 30, 2022 #207,321 Shimba Ya Buyenze said: Hili jimbo bado halijapata mgombea? Ulipotea kidogo. Kila kitu kiko salama? Click to expand... shangaa na ww Eti jmn vijana wa sikuhizi sijui wakoje
Shimba Ya Buyenze said: Hili jimbo bado halijapata mgombea? Ulipotea kidogo. Kila kitu kiko salama? Click to expand... shangaa na ww Eti jmn vijana wa sikuhizi sijui wakoje
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,016 Reaction score 177,326 May 30, 2022 #207,322 Asante mdogo wangu Ngoja nifanye hivo! genetic said: Hahaha tafuta belts za kupunguza tumbo Click to expand...
Asante mdogo wangu Ngoja nifanye hivo! genetic said: Hahaha tafuta belts za kupunguza tumbo Click to expand...
Tayana-wog JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 28,877 Reaction score 37,676 May 30, 2022 #207,323 CAPTORHINOMORPHS said: Kama kuna mtu humu ana kg zaidi ya 70 na anataka kupungua tr 20 june, tuanze fasting na keto diet Mlo wa jioni ni ndizi mbivu nusu tu,, na fasting hyo ni for 14 days Siku 3 za kwanza itakuwa ngumu mno lakini on the 4th day baada ya ketosis kuanza itakuwa easy peasy Kama u are pregnant au una matatizo ya kiafya challenge hii usifanye,, Any volunteers for science?? Click to expand... Mi nataka kuongezeka kilo mkuu
CAPTORHINOMORPHS said: Kama kuna mtu humu ana kg zaidi ya 70 na anataka kupungua tr 20 june, tuanze fasting na keto diet Mlo wa jioni ni ndizi mbivu nusu tu,, na fasting hyo ni for 14 days Siku 3 za kwanza itakuwa ngumu mno lakini on the 4th day baada ya ketosis kuanza itakuwa easy peasy Kama u are pregnant au una matatizo ya kiafya challenge hii usifanye,, Any volunteers for science?? Click to expand... Mi nataka kuongezeka kilo mkuu
Post M-alone JF-Expert Member Joined Aug 18, 2021 Posts 2,962 Reaction score 9,557 May 30, 2022 #207,324 Tinsley said: Oh so mchawi siku za mwanzoni tu baada ya hapo unaendelea bila shida . Okay thanks I'm insipired kwa kweli Click to expand... Kwa hio upo tayari nguo zako uache nyengine uvalie mkanda.
Tinsley said: Oh so mchawi siku za mwanzoni tu baada ya hapo unaendelea bila shida . Okay thanks I'm insipired kwa kweli Click to expand... Kwa hio upo tayari nguo zako uache nyengine uvalie mkanda.
CAPTORHINOMORPHS JF-Expert Member Joined Sep 29, 2019 Posts 3,066 Reaction score 7,650 May 30, 2022 #207,325 Tinsley said: Hahahha aisee kumbe yupo na discipline hivyo Nimempenda bure Hapo mtafikia malengo kwa kweli Click to expand... Hyo ilikuwa last year,, this year nimegain kinyama,, from 65 to 78,, nataka nirudi 65,, baada ya miezi miwili
Tinsley said: Hahahha aisee kumbe yupo na discipline hivyo Nimempenda bure Hapo mtafikia malengo kwa kweli Click to expand... Hyo ilikuwa last year,, this year nimegain kinyama,, from 65 to 78,, nataka nirudi 65,, baada ya miezi miwili
Tayana-wog JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 28,877 Reaction score 37,676 May 30, 2022 #207,326 mtu chake said: eeh Click to expand... ,mtu chake
M Mjep JF-Expert Member Joined Oct 28, 2014 Posts 11,721 Reaction score 34,880 May 30, 2022 #207,327 Christine1 said: PoleeeeView attachment 2244839 Click to expand... 😍😍 Nina bahati ya mtende Alaumiwe Tinsley aliyekufundisha kuweka emoj😜
Christine1 said: PoleeeeView attachment 2244839 Click to expand... 😍😍 Nina bahati ya mtende Alaumiwe Tinsley aliyekufundisha kuweka emoj😜
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 May 30, 2022 #207,328 CAPTORHINOMORPHS said: Ukishinda wiki ya kwanza ndo imetoka hyoo utaona ni kama maisha ya kawaida,, na ukawa unafanya cardio exercises total ya 180 minutes per week,, mwili huo unaisha,, shida ni maintainance ya huo mwili Click to expand... Ooh okay Ah sawa nitafute mbadala maana siwezi kaa na njaa mie ..
CAPTORHINOMORPHS said: Ukishinda wiki ya kwanza ndo imetoka hyoo utaona ni kama maisha ya kawaida,, na ukawa unafanya cardio exercises total ya 180 minutes per week,, mwili huo unaisha,, shida ni maintainance ya huo mwili Click to expand... Ooh okay Ah sawa nitafute mbadala maana siwezi kaa na njaa mie ..
Post M-alone JF-Expert Member Joined Aug 18, 2021 Posts 2,962 Reaction score 9,557 May 30, 2022 #207,329 Christine1 said: PoleeeeView attachment 2244839 Click to expand... Umependeza sana.
CAPTORHINOMORPHS JF-Expert Member Joined Sep 29, 2019 Posts 3,066 Reaction score 7,650 May 30, 2022 #207,330 Christine1 said: Mi nataka kuongezeka kilo mkuu Click to expand... If una any kind of stress ignore and override them kwanza,
Christine1 said: Mi nataka kuongezeka kilo mkuu Click to expand... If una any kind of stress ignore and override them kwanza,
Tayana-wog JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 28,877 Reaction score 37,676 May 30, 2022 #207,331 Mjep said: Nina bahati ya mtende Alaumiwe Tinsley aliyekufundisha kuweka emoj Click to expand... Tinsley
Mjep said: Nina bahati ya mtende Alaumiwe Tinsley aliyekufundisha kuweka emoj Click to expand... Tinsley
Tayana-wog JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 28,877 Reaction score 37,676 May 30, 2022 #207,332 Post M-alone said: Umependeza sana. Click to expand...
Kashaija72 JF-Expert Member Joined May 18, 2020 Posts 2,522 Reaction score 5,577 May 30, 2022 #207,333 Christine1 said: PoleeeeView attachment 2244839 Click to expand... @Shimba Ya Buyenze
Tayana-wog JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 28,877 Reaction score 37,676 May 30, 2022 #207,334 CAPTORHINOMORPHS said: If una any kind of stress ignore and override them kwanza, Click to expand... Kwakweli sina mkuu Yaani Niko freeeee
CAPTORHINOMORPHS said: If una any kind of stress ignore and override them kwanza, Click to expand... Kwakweli sina mkuu Yaani Niko freeeee
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,253 Reaction score 90,453 May 30, 2022 #207,335 Christine1 said: ,mtu chake Click to expand... mambo Christine
CAPTORHINOMORPHS JF-Expert Member Joined Sep 29, 2019 Posts 3,066 Reaction score 7,650 May 30, 2022 #207,336 Tinsley said: Ooh okay Ah sawa nitafute mbadala maana siwezi kaa na njaa mie .. Click to expand... Kula but mlo wako content yako isizidi 50 grams of carbohydrate,,, hyo ni equivalent to 3 slices of bread
Tinsley said: Ooh okay Ah sawa nitafute mbadala maana siwezi kaa na njaa mie .. Click to expand... Kula but mlo wako content yako isizidi 50 grams of carbohydrate,,, hyo ni equivalent to 3 slices of bread
Tayana-wog JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 28,877 Reaction score 37,676 May 30, 2022 #207,337 Kashaija72 said: @Shimba Ya Buyenze Click to expand... Shauri yake inafutwa sio mudaShimba Ya Buyenze
Kashaija72 said: @Shimba Ya Buyenze Click to expand... Shauri yake inafutwa sio mudaShimba Ya Buyenze
CAPTORHINOMORPHS JF-Expert Member Joined Sep 29, 2019 Posts 3,066 Reaction score 7,650 May 30, 2022 #207,338 Christine1 said: Kwakweli sina mkuu Yaani Niko freeeee Click to expand... You sure?
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 May 30, 2022 #207,339 Post M-alone said: Kwa hio upo tayari nguo zako uache nyengine uvalie mkanda. Click to expand... Ah ziniache tu Suruali zenyewe zinanipwaya chini
Post M-alone said: Kwa hio upo tayari nguo zako uache nyengine uvalie mkanda. Click to expand... Ah ziniache tu Suruali zenyewe zinanipwaya chini
Tayana-wog JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 28,877 Reaction score 37,676 May 30, 2022 #207,340 mtu chake said: mambo Christine Click to expand... Shwarii mkuu! Niambieee