Selfika na JF: Snap it. Show it

Ndo ni furaha, ndoa ni amani , ndoa ni upendo ni goodtimes, ndoa sio kuvumulina na mambo yanayo hatarisha uhai, afya wala usalama wako..
 
Bora uliokoa uhai wa aunt yako.

Usiombe uwe kwenye abusive marriage afu huna kipato. Ndugu wengine roho mbaya wanaona kama ukiachika utakuwa mzigo kwao financially; so hata ulalamikaje watakwambia tu uvumilie
Yaan mwenzio had leo najionea km hadith, miaka 11 watu hawaelewan, hawalali pa1, kila mtu na mipango yake, japo walikua wanaishi nyumba 1, eti wakitoka nje huku unaweza sema ndoa enyewe si hii, km ugomv bas n kidogo, kumbe boom n kubwaa,

Wala nilisambaratisha siku hiyo, na ndoa ikafa,

Mie hata mama namuambiaga ukweli, ndoa ikikushinda changanya miguu urudi kwenu, sio eti una watoto au utu uzima uogope aibu, utakufa siku sio zako, na utawaacha hao unaodhan watakuonaje wakiendelea kula dona, maisha yako yapo mikononi mwako.

Kuna siku niliongea na baba yupo, alinitazamaa huyooo, uwiiiiiiih.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…