Arien
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 11,245
- 11,777
Nishasahau hata😆🤦🏽♂️Tunazungumzia nini kwani
Nishasahau hata😆🤦🏽♂️Tunazungumzia nini kwani
Jumapili sitoki mdogo wangu, nina kisemeo changu na yeye yupo na chake. Anapika machalari huko![]()







Tudimpoooz tuuleee tunataka kuja😍😍View attachment 1252810
When I was young 🙊
Tunakuja kwako eehTudimpoooz tuuleee tunataka kuja😍😍
Njoo nikuelekeze mkuuNaomba direction mkuu
Acha uroho 😂😂😂😂😂
Wananishawishi sana
Mti wenye matunda siku zote ndio hupiga mawe!Katusengenya
![]()
Nilichogundua: JF ina walevi wengi sana!!
Ni kwamba hapa kundi kubwa la watu (wake kwa waume) ni wazee wa Kugambeka (Ulabu/MitungiNa majina mengine) kwa saaana....Kuna uzi Kaunzisha Bw. Mshana jr. Nimeona wachangiaji wengi sana ambao wamekoshwa na ujio wa mada ile na kuhisi kama vile wameletewa uwanja wa kujimwaga humu Jf....kwa sisi...www.jamiiforums.com
Very very innocent 😂😂😂So innocent darling![]()
Mh! SawaKaramajong
Nakaza roho na akili
Wewe hushawishiki eeehh
😂😂😂😂Sawa dada
Haya, tuanze upya sasa
Nitafurahi kweli tukijamo kwangu wajameni🙆🏽♂️😊Tunakuja kwako eeh
Duuuh!! Sasa ukijiita kibonge sie wengine tujiiteje![]()
Kaa hapo hapo usubirieNitafurahi kweli tukijamo kwangu wajameni🙆🏽♂️😊