DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,503
- 29,900
Nakufananisha mkuuU seems to know me mkuu
Nakufananisha mkuuU seems to know me mkuu
Wote tuseme amen!View attachment 1252812missing you lil sisy!
Kwani watakuwa wametumia sahani ngapiiUkiona wamepotea kwenye Uzi ujue wanaosha vyombo.
Sasa kwa wakati huu si utakuwa bonge la mdada na nyama nyama za allah kama zote
..wanafaidi mema ya fundi mdogo wangu...Wanafaidi nini eti kaka!
Nyingi nyingi tuKwani watakuwa wametumia sahani ngapii
Leo nahisi haupo nyumbaniWote tuseme amen!
Na naniNakufananisha mkuu
Now nipo chibongeee😂😂😂Sasa kwa wakati huu si utakuwa bonge la mdada na nyama nyama za allah kama zote
..wanafaidi mema ya fundi mdogo wangu...








🤣🤣🤣🤣🤣 🤣
Umenishinda tabiaaa
Haiwezekani banaNyingi nyingi tu
Tuwasifu mileleYesu na maria....
KaramajongNa nani
Sahii wanapika, si unaona hawapoHaiwezekani bana
Watatumia sahani moja tuu
Hahaha kiasiTako kama loteee.
![]()
Jumapili sitoki mdogo wangu, nina kisemeo changu na yeye yupo na chake. Anapika machalari huko
Leo nahisi dada hayupo nyumbani kaka


Hasa wewe hapoKatusengenya
![]()
Nilichogundua: JF ina walevi wengi sana!!
Ni kwamba hapa kundi kubwa la watu (wake kwa waume) ni wazee wa Kugambeka (Ulabu/MitungiNa majina mengine) kwa saaana....Kuna uzi Kaunzisha Bw. Mshana jr. Nimeona wachangiaji wengi sana ambao wamekoshwa na ujio wa mada ile na kuhisi kama vile wameletewa uwanja wa kujimwaga humu Jf....kwa sisi...www.jamiiforums.com