Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,633
- 38,733
Huu mzigo nishaununulia k vant kubwa ya kuchanganyia...alooo atakufa mtu
Wewe apo jamaniHahahaaaa yukowap huyo
acha hizo mkuuKaribu sana mkuu, mibs pametulia ila kwa level zako juliana panakufaa
Tunazungumzia nini kwaniUngependelea nifanyeje dada mpendwa?
Naongea na baba yetu, nashukuru inawezekana niliona peke yangu kabla fagio halijapita. Hiyo rangi, midomo tu..dah watu wanafaidi.




na kweli uliona mwenyewe kabisa!Huu mzigo nishaununulia k vant kubwa ya kuchanganyia...alooo atakufa mtu![]()
Upo fastaaa leo ni![]()


Leo siyo dkk 90 ni 120![]()
Jamaa fundi sana, halafu watu wanafaidi jamani!!!na kweli uliona mwenyewe kabisa!
Naona inawekwa ya jumatano![]()








Mimi si unajua silewagi mapombe makali tu, lakini hizi laini laini sinaga ujanja nazo