Selfika na JF: Snap it. Show it

Kila siku huwa watu nawaambia, usiishi kwa kuwafurahisha watu wa nje, ishi ktk uhalisia wako na lililo ktk nafas yako kwa wakati husika.

Haya maisha ya watu watanionaje, nilishakataa na haitokuja kutokea kwangu.
santeeeeeeeh!!!😘😘😘
Hauna mbambamba kabisa!!
 
fundi analo
!!
Tena ana muda mwingi wa kushona, mwezi mzima, na nimempa angalizo yeye awe buzzy na nguo za wengine afu ikikaribia kuchukua mie ndo ahangaike kunilipulia atavaa yeye na bibi yake, sitaki utani kabisaa, na nlimsisitiza sana, sasa yeye ajitoe ufahamu.
 
Atakua makini shos nasubiria huo mshono mie!!
 
Yeah sure. At the end of the day Kila mtu yupo responsible na maisha yake. If you decide you throw it away; hakuna wa kukuzuia.

Niliongelea tu partly of what nimeki-experience na hawa victims wa domestic violence. Wengi ni kuwaza kwamba nitaonekanaje nikiachika? One of my aunts; watoto wake ilibidi wamuondoe kinguvu kwa baba yao, ndiyo ikawa salama yake. Alipofikia ni ilikuwa tunasubiri tu taarifa ya msiba kwa kipigo au presha.

Kuna clip nimeiona ya send off ya binti anawaambia wazazi wake wasije wakamtupa kwa sababu tu ameolewa. In the sense wazazi wengi hata mtoto akija kuwalalamikia/kuamua kurudi nyumbani juu ya abuse anayoipata kwenye ndoa; ataishia kuambiwa "vumilia mwanangu, ndoa ndiyo zilivyo, rudi tu kwa mumeo". Siku ya siku wanaletewa mtoto kwenye jeneza.
 
Unamikwaaara.
Ngoja ujichanganye ukunjwe na ngumi juu🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…