Selfika na JF: Snap it. Show it

Kheeeeeh shouzzzzzz mbna ngozi imeharibika hivyo? Poleeeeh sana Dea.
 
Na sisi wenye allergy ya pua unatuambia Nini?

Mkuu Ngariba1 ,ile dawa ya allergy uliyosema ni Kwa ajili ya allergy ya vyakula tu?au Mimi pia naweza tumia allergy yangu ya pua!?!
 
Sasa mbona Tangu nizaliwe nilikua nakula imeanza kama 6 months ago tu yani tangu nizaliwe hadi thate plus yangu hii kuanzia hio majuzi kati Ndio nashangaa!!
 
Sasa mbona Tangu nizaliwe nilikua nakula imeanza kama 6 months ago tu yani tangu nizaliwe hadi thate plus yangu hii kuanzia hio majuzi kati Ndio nashangaa!!
Nimejaribu kufeel namna unawashwa.

Mimi kuna muda wakati wa kuoga nikijisugua sana mwili unawasha,unavimba
Pona yangu ni kukaa juani.

Sasa jua lisipokuwepo yaani🀣
Mwili wote unawaka moto.
 
Wee nae acha porojo zako mmmh.
 
Pole sana
 
Pole Boss Lady...
 
Pole sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…