Nations
JF-Expert Member
- May 4, 2022
- 4,892
- 16,997
Na hii uankumbuka wapi 😁😁
Na hii uankumbuka wapi 😁😁
Hapa atleast nilikua nimekua kua ila sio sana😂😂Na hii uankumbuka wapi 😁😁View attachment 2242109
Ni mtu mbad hadi leo, ni vile tu saivi majukumu na utu uzima yanasababisha mtu anapunguza kasi😅Big boy alikuwa mbayaaaaaaaa eeeh hatari sanaaaa enzi hizo bado tunanukia nukia karamu
Mwambie anichezeshee aone moto wa Upareni 😂😂😂😂😂
mchumba tu huyo anakula kitasa anatulia vyedeeee kabisaaa 😅😅😅+ chugani 😂😂
Anachezea moto
Hapa napo nahisi shoga Depal alikuwa bado anaruka ruka na pempas eeeh 😅😅😅View attachment 2242110
Usimuumize shoga angu lakinimchumba tu huyo anakula kitasa anatulia vyedeeee kabisaaa 😅😅😅
Balaaa na nusuuuu yaniii 😅😅When you're looking in her eyes you can see forever (Forever)
You're captured by the beauty of her soul (Oh, yeah)
You know you're never gonna find a woman like this again
So don't let go (Don't let go)
😂😂😂 ngoja akuskie
Ila Enrique alikua balaa, aliwarahisishia sana madomo zege enzi zile😛😛
Muambie aje tunyonye maziwa kwanzaa 😅😅😅 ndio nitaona kama nitamchapa au nimuacheUsimuumize shoga angu lakini
Pisi kali hua hapigwi anabembelezwa😊😊
Depal unaitwa huku upewe madhiwaa😋😋Muambie aje tunyonye maziwa kwanzaa 😅😅😅 ndio nitaona kama nitamchapa au nimuacheView attachment 2242116
Sikiliza hiii
🔥🔥🔥 sanaaa yanii hatari.. hapa huku nashushia tende harua, karanga na masiwaaa na mayai yanguu mawili safiii 😅😅Jennifer nae ni 🔥🔥🔥
Ngoja niicheki youtube
Nimekutana na nyingine Mouth to Mouth ni 🔥🔥Sikiliza hiiiView attachment 2242127
Oooooh wilaya ipi?Hapa ni Iringa mkuu
Me sio ndama 🙉😂😂Muambie aje tunyonye maziwa kwanzaa 😅😅😅 ndio nitaona kama nitamchapa au nimuacheView attachment 2242116
😂😂😂hii najua Depal ndio kalikuwa secondary form nyoyaaa eeeh hata akajui kuvaaa kamasi bado kanarambaa rambaa kama nyokaaView attachment 2242128
😂😂😂 ngoja nimuulize totoo kama anataka maziwa
Upoje lakini🤣🤣🤣🤣Me sio ndama 🙉😂😂