Selfika na JF: Snap it. Show it

😁😁 ni chaka hilo ukichoma mpira ndio utajia injia wa michongo walivyo jaaaa πŸ˜…πŸ˜πŸ˜….. Binafsi nilishajitoa kwa hilo kundi sasa hivi nimekuwa raia wa kawaida
Thubutuuuu!!!! Mpo juu mawinguni nyie ni level nyingine baba pasta!!
 
Huu ni ukatili kusaikolojia inamuathiri sana mtoto basi tu!! Kuna aproaches nyingi sana za kudili nao sema temper ikiwa juu ndio kujizuia ngumu kidogo!
Hakika madam. Ni kama mzazi anakuwa hayupo sawa kisaikolojia; amejaza uchungu mwingi then mtoto ndiyo anakuwa fuko lake la kutemea machungu yake. Ndiyo yale mtoto anaiba Tsh 100, afu mzazi anamchoma moto vidole.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…