Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahahaha nimecheka aisee
Umeeleza vyema kabisa
Kiukweli ina faida yake sema ndo hivyo ni dhambi ... Inaondoa kisirani na gubu , kuna muda unaweza jikuta unamchukia mtu kumbe ni hali hiyo tu .
Pia kunichekesha ovyo kwa ke inatokea
Uko sahihi. Mara nyingi mwanaume ukiona ndani ya nyumba gubu, kisirani na dharau za rejareja zimeanza wala usiumize kichwa. Sometimes ni hormonal imbalances tu na ukipiga mikwaju ya uhakika unatatua tatizo kibabe, heshima inarudi na furaha kila kona. Hata kanga zilizoandikwa "Mapigo unayonipa mpaka mbengo zinafongoka" utavaliwa yaani
 
That's ma genius sweet shostieee!! 😘😘😘Kaa hapo nikupe vocha Halotel kwanza hii imenikoshaaaa♥️
 


Saint Anne Mwakaseghe

Pitia hapa
 
Mkwe
 
That's ma genius sweet shostieee!! 😘😘😘Kaa hapo nikupe vocha kwanza hii imenikoshaaaa
 
Hakika
Hapo unakuwa umetatua tatizo kabisa hizi ,hormone hizi zinatuendesha vibaya Na ni vyema kujua mtu huyo jinsi alivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…