Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
Kwani upo seriousahaha yani acha tu embu ngoja nitest na uku kwako
Kwani upo seriousahaha yani acha tu embu ngoja nitest na uku kwako
Mimi Mobutu kaniambia huyo ni mtu chakeHii picha mnaitoa wapi eti??
Ebu comment basiNilitaka kucoment hapa ila [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukiwa mbea usiwe mshahaulifu jamani[emoji2296][emoji2296]uwii nimesahau eti tulikuwa tunaongelea nini tena jamani??
Hahahha ila ajue tu mkono mtupu haulambwi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Vinini hivyo jamani vimekuja vibox box[emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Asiyekuwepo na lake halipo dadaDada mbona umeifuta hiyo picha weka tena jamani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mimi kibonge huyo mdogo wangu ndio mwembamba[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]kumbe wewe ni mwembamba??
Usiniambie unamuonea wivu shemKaka anafaidiiiii
Nani kakwambia jamani shem niliyepost ni miminimeambiwa umeshafuta shem
Uyu Mzee nna wasiwasi nae[emoji23][emoji23] asijekuwa anatutega ili atunaseHiyo radio call.... mshana hahah
Tuma muamala nigeukeSi ugeuke tu jamani?. Nini mambo ya kufichana fichana sebuleni?
Sio mimi huyo pia hilo vazi duuuuh.
Eeeenh kwahiyo tunaokunywa bado watoto etiNimekuwa mkubwa dada
Hahhaha kwahiyo wanakulana hawana wivuHahahaahahha
Ndiwooo, eti hainaga wivu
HallelujahMwana- kondoo ameshinda[emoji120]View attachment 1252610
Nifuateni,Nami nitawafanya kuwa wavuvi wa watuNaombeni Injili ya Leo Sakayo Saint anne
Majibu 1:1[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]nifanye nini nasubiri uniambie.