Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,488
Yaaaniii
Mesahau kujifotoa jamani, nishavua gauni langu la kitenge
Yaaaniii
Nitaumia mimi, sitaweza wivu utaniua kwa kweliAkati wewe ukisubiri uliwe denda lakutoka et?
Mimi zangu Ni zilezile.
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]Nakuja pm mtoto mtamu hivyo
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Nimeona kifua, ninahusudu vifua sana[emoji1787][emoji1787]Kheeee mkuu hebu angalia tena vizuri aiseeMimi ni kibonge mbona au angalia kwenye picha nyingine hizi hapaView attachment 1252268View attachment 1252269
Ayaaa🙆🏽♂️ dahNimeenda kaka
Ila nishavua gauni langu la kitenge, mesahau kujifotoa
Jamani jamani....Ndo utaratibu wetu wanawake wa Dar. Niwe na tumbo flat mi nyoka?View attachment 1252162
Ha ha haaa lile zoezi la dakika chache ila uzito wake ndo ni wa kutoa rohoNitaumia mimi, sitaweza wivu utaniua kwa kweli
Daah! Nitakua kanisani mida hiyo
Utuombee sisi tulioasi Saint anneMwana- kondoo ameshinda[emoji120]View attachment 1252610
Ustaadhat katika ubora wake...
Nyigu mama🤭Mwana- kondoo ameshinda[emoji120]View attachment 1252610
[emoji8][emoji8]Mwana- kondoo ameshinda[emoji120]View attachment 1252610
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ha ha haaa lile zoezi la dakika chache ila uzito wake ndo ni wa kutoa roho
Wote wametenda dhambi na kupungukiwa na utukufu wa MunguUtuombee sisi tulioasi Saint anne
Bwana asifiwe[emoji137]Nyigu mama[emoji2960]
Ila wengine tunaogelea katika uasi na utukufu umetoweka kabisa[emoji39]Wote wametenda dhambi na kupungukiwa na utukufu wa Mungu
Tukisema hatuna dhambi twajidanganya wenyewe Wala kweli haimo ndani yetu..Bali tukiziungama na kuziacha Yeye Ni mwaminifu na wa Haki hata Atusamehe na kutusafisha.Ila wengine tunaogelea katika uasi na utukufu umetoweka kabisa[emoji39]