Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
"L" na "r" ni changamoto ya watu wengi sana including wasomi.Labda ila huyu kanichosha Sana[emoji23][emoji23]jamn Hadi r iwe shida
Sasa Mambo ya maombi na tongozo kweli[emoji23][emoji23][emoji23]
Au wanakutana na walokole wa kijijini ambao hata shule kichwani haipo?Siku hizi vijana wameokoka, hela wanatafuta sana na swagga kama zote. Hapo ndiyo unasema kwa maconfidence "I bagged myself a good man".
Kwani hawamuoni braza big humu?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii nadhani ni changamoto tu za lugha mama."L" na "r" ni changamoto ya watu wengi sana including wasomi.
Abeeeeee 🤣🤣🤣Unakutana na mtu hadi unashindwa namna nzuri ya kumshukuru Mungu maana amepitiliza vigezo ulivyoomba.
Wengi tu nawaona ni wasomi haswaHii nadhani ni changamoto tu za lugha mama.
Hata Mimi sometimes huwa nachanganya...nimekaa na watu wa namna hiyo muda mrefu,Hadi najikuta nacopy hiyo hali.
Itakuwa Auntie wetu anakutana na wale wa kizamaniWengi tu nawaona ni wasomi haswa
Unaitika sijakuita😂Abeeeeee 🤣🤣🤣
Nafikiri watu wengi bado wana ule mtazamo kuwa walokole ni watu losers, waliojikatia tamaa, wapowapo tu. Ilhali siku hizi kuna vijana wanaojitambua (wenyewe tunasema wanaume wa maana) na wameamua tu kumtafuta Mungu kwa hiyari yao. Total package
LocationKuja uchukue
Waka wakaLocation
Wacha nikwee kifodi chapWaka waka
Lucas kapata nafuu, thomas kaanza kuwehukwa, frank anakaba nae, hatareee. [emoji23][emoji23][emoji23]Mwana kondoo jua limeshaanza kumuwakia
Ndyo aunt hawana amsha amsha. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aunt
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nikupe mbinu 1 hiyo, ukimfanyia lazima apooze au apate mtindio wa ubongo, staki case lakn.Nipe notes nikampe summary achangamke kidogo[emoji23]
Michango hoyeeeee, [emoji23][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23]Kawaida hiyo.
Kuna namna unaheshimika aisee ukiwa unatoa toa vimichango vya hapa na pale.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] wahi saloon huko, acha ubishi.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]tulia mdogo wang Cocastic
Kwanza asikudanganye wakaka walio okoka unaweza hisi sio wazima, mambo yao tyuuh. [emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Huyo hajapata wokovu wenyew huyo [emoji1][emoji1][emoji1] sijawaonaga waliochangamka
5627301146746[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] wahi saloon huko, acha ubishi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] mtu anatongoza kwa ktumia vifungu vya bible? Woiiiiiiiiih mie staki lolDuh itakuwa mlokole asiye na swaggg.
Umkute kijana amesoma vizuri,mstaarabu vizuri,anajua kuandika vizuri aisee...mbengo mbona zinafongoka mbele kwa mbele.