[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] wakaka nao je hawatakutazama kwa jicho la YS.Naitwa Anne
Nimeokoka ..nampenda Yesu
Nitatoa million 5.
Weeeh[emoji2]...hapo kila mtu anakutazama kwa jicho la upako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Lazima tulisindikize basi kidogo kwa kukimbia
Haswaaa yaan, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Lazima
Tukusindikize na kukupokea kwa bashasha.
Unaondoka hadi chozi linakutoka jinsi tunavyoshow love.
Wee dogo, uwage una shave vizuri hizo ndevu, cheki hapo sasa km ukoka uliokosa rutuba? Wahi saloon bhana, kaweke kitu cha kueleweka. Unaniangusha sasa khaaaah.Mchana mwema na uwe kwenu wakuu.[emoji120]View attachment 2239180
π€£π€£π€£π€£ππππππ Hhahahaaa!hahahaha.anakuaje mtamu au mtundu na yy yesu yuko ndani yake
Hahahaha.niokoke na route za usiku za mawindo.nimuachie nani?
[emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maria hoyeeee. Mwana kondoooTutaomba na kufunga kwa ajili yako. Imagine binti analeta kamchumba pale hakajaokoka; Ile amefika tu anagonga "nitatoa mifuko 100 ya cements kwa awali". Weeeee
Kwenye tamthilia ya Jua Kali; mchumba Frank kafika tu kaahidi kuwanunulia vyombo vya music. Mchungaji kachanganyikiwa
Sawa ntakusubiri
π€£π€£π€£π€£ππππππ Hhahahaaa!hahahaha.anakuaje mtamu au mtundu na yy yesu yuko ndani yake
Hahahaha.niokoke na route za usiku za mawindo.nimuachie nani?
Ndyooooh lips tamuui, afu muambie ankoli awage anazilamba na kuzing'ata. [emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]Ila coca hukubali kupitwa[emoji16]View attachment 2239185
Ndyoooo hawana maajabu hata, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahha Kwanza nasikia vijana waliokoka sio watamu(msije na povu nimeskia tu[emoji23]
Nyie mnawaongelea walokole wa enzi zetu za kuvaa suruali na mashati ya satini. Sio hawa wa sasa hivi; wengi wamechachuka. Na mkisikia walokole mnahisi ni "watakatifu waishio duniani". Nyie kuna watu Wana matukio, mpagani akasome. But still kukimbilia kanisani, despite mapungufu yako ni salama sana.Hahha Kwanza nasikia vijana waliokoka sio watamu(msije na povu nimeskia tu[emoji23]
Mwana kondoo jua limeshaanza kumuwakia[emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maria hoyeeee. Mwana kondooo
Kwamba ukiwa na Yesu ndiyo huwi mtundu?? Usisahau wengi tunakimbilia makanisani baada ya yaulimwengu kutushinda.hahahaha.anakuaje mtamu au mtundu na yy yesu yuko ndani yake
Hahahaha.niokoke na route za usiku za mawindo.nimuachie nani?
Nimefika kwa wkati emoj sasaNgoja leo nitupie na mimi
[emoji23][emoji23][emoji23]auntNdyoooo hawana maajabu hata, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yani kumbe ndio wewe !!kha!Ngoja leo nitupie na mimi
hahahaha.umenichekesha hy sentensi ya mwisho.imebeba ukweliKwamba ukiwa na Yesu ndiyo huwi mtundu?? Usisahau wengi tunakimbilia makanisani baada ya yaulimwengu kutushinda.
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahaha.bosslady nn tena?π€£π€£π€£π€£ππππππ Hhahahaaa!
Mjedaaaaaaaa