[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] eti umekuwa nyoka, mwenza una majibu!!Ndo utaratibu wetu wanawake wa Dar. Niwe na tumbo flat mi nyoka?View attachment 1252162
Kwani kuna mzazi ambae husema mwanae mbaya?Unaona sasa
Hata leo ilikuwa kweli ujue!
Metoka Arusha, nikashuka hugos hapo saivi nishaleft niko Oriental
Ongea vizuri na mimi kaka ufunguliwe pm uko nakuonea huruma unavyopata shida
Hivi unawajua vibonge wewe[emoji134][emoji134][emoji134]
Anataka zikianza kuzaa awe anajinywea tu nyumbani...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama huyu anayepanda pombe? View attachment 1252467
Hahahahaa
Natamani mi ndo ningekuwa hilo tango
Mtafutaji na mtumiaji kwenye picha ya pamoja [emoji41]View attachment 1252486
Levante
Hahahah akilewa anajijua mwenyewe
Kwahiyo kama umelikuta jf ndio ukazie
Mpe hongera bby wangu. Mwambie nimemkubalia ombi lake. Ila asiniogope [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utashindwaa vaa suruali shaur yako tumbo litajitokeza
Ila una bonge moja LA shepu we mzigua
Hapo sasa shem ndio unanivuruga mambo ya comment no ngapi tena we panda tu juu uko shem wangu utakutana nayo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mangi ni rafiki yangu bana, alikuwa ananikorofisha siingilii JF siku tatu! Sasa naona upepo wa kisulisuli umemfanya akuwe mwema auntie!!
Jana nilikuwa niko hot, wifi yako kanibania papuchi...
Nimefukua makaburi yote chali, mwishoe namcheki Shunie angalau anisindikizie siku nae haeleweki....
Basi nikamaliza mwenyewe club legend [emoji18][emoji18][emoji18]