Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,181
Tulia hapo hapo, nashushaNimejipanga kuota
Shusha mzigo
Tulia hapo hapo, nashushaNimejipanga kuota
Shusha mzigo
Nimetulia tuliiiiTulia hapo hapo, nashusha
🙄🙄🙄Tulia hapo hapo, nashusha
hahahaha.eti lango li wazi.vijana wachangamkeMi sipendi mwanaume ambae hawezi kuni control, nitamcntrol yy!
[emoji3]piga chini!
Lango li wazi
ukwasi unao?changamka kijana. Lango liko wazi,jitu limepigwa chiniOyoo
hahahaha,dah mwamba kala kibuti cha mbavu[emoji3][emoji3]nimemuacha bwanaa naonana ananiletea mambo meusi[emoji85]
Mnyaki down. Sijui alikuwa anahonga maavokado yule...ukwasi unao?changamka kijana. Lango liko wazi,jitu limepigwa chini
Mnyaki dauni...Mi sipendi mwanaume ambae hawezi kuni control, nitamcntrol yy!
[emoji3]piga chini!
Lango li wazi
hahahaha.jamaa itakua hana ukwasi ndo maana kapigwa chini,angekua vzr angeacha yy. Dah mwana kaachia jimboMnyaki down. Sijui alikuwa anahonga ma avokado yule...
Kashindwa kulikontrol jimbo mpaka kapigwa chini dadeki [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1727][emoji1727][emoji1727]
hahahaha.dada zake wanyaki wenzie humu wanasema.kaka yao kupigwa chiniMnyaki dauni...
Ai ripiti Mnyaki dauni...
Alpha du yu kopi? [emoji1727][emoji1727][emoji1727][emoji122][emoji122][emoji122][emoji870][emoji870][emoji870][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
we chukua jimbo.liko wazi. Mnyaki hana chake tenaMnyaki ni nani huyo wakubwa?
Mjukuu jamani [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
Jimbo lipi hilo?we chukua jimbo.liko wazi. Mnyaki hana chake tena
"Ogopa matapeli. Hakuna Mnyaki asiye na kishundu"Hellow wanaselfika[emoji8]
Jibu la kifalsafa sana. Hata Arisitoto akasome [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Hakuna mashindano mkuu mungu aliumba kila mtu kwa ukamilifu wake![emoji6]
panda juu pitia pitia.utaona mtu katangaza jimbo liko wazi.halina mbunge.kazi kwenu vijanaJimbo lipi hilo?
Eti kashindwa kulikontrol jimbo wakati jimbo linapenda kuwa kontrolidi....hahahaha.jamaa itakua hana ukwasi ndo maana kapigwa chini,angekua vzr angeacha yy. Dah mwana kaachia jimbo
..